Otile Brown ft. Rayvanny – Asante Lyrics

Asante Lyrics by Otile Brown ft. Rayvanny Uuuuh! Uuuuh! Kupendwa ni baraka, uwe maskini au tajiri Mwisho wa siku ushindi mkubwa,furaha na amani Aaaah! Kupendwa ni kwa neema,kuna wale waliojaliwa Mali,ila ndio sasa wamepungukiwa mapenzi Niamini baiby,mimi ni wako,kwako nashikamana hivyo Niamini baiby,mimi ni wako,kwako nashikamana hivyo Asante,asante,kwa kunipenda Kwa kunipenda… Mhhhh,mmhhhhh Mhhhh,mmhhhhh Nimechoka kumficha,nachelewa…